Ingia / Jisajili

Nitamwimbia Bwana (Sauti Duni!)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 22

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Ingawa sauti yangu ni duni nitamwimbia BwanaX2 Nitamwimbia Bwana, kwani alinipa bure, hiyo sauti yangu, nami ‘tamwimbia sana; ingawa sauti yangu ni duni nitamwimbia. 2. Na nyinyi wale mliojaliwa kwa sauti nyepesiX2 Haki msiudhishwe na sauti yangu duni, bali nanyi imbeni, tuhubiri kwa kuimba; Kwani kuimba ni njia moja ya kuhubiri. 3. Tusipomwimbia Bwana Mungu ‘taimbiwa na maweX2 Mawe yakimwimbia wewe utakuwa wapi? Nami ‘takuwa wapi? Sote tutakuwa wapi? Sote tuenezeni neno njema kwa uimbaji.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa