Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 7
Download Nota Download MidiChagueni hivi leo ni nani yule mtakayemtumikia X2
Lakini {(mimi na nyumba yangu X3 nitamtumikia Bwana} X2
1. Kati ya miungu wa ulimwengu na Mungu Baba Mwenyezi utatumikia nani ewe ndugu yangu.
2. Kati ya anasa za ulimwengu na Mungu Baba Mwenyezi utatumikia nani ewe ndugu yangu.
3. Kati ya mali nyingi duniani na Mungu Baba Mwenyezi utatumikia nani ewe ndugu yangu.
4. Kati ya sifa humu duniani na Mungu Baba Mwenyezi utatumikia nani ewe ndugu yangu.