Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Miito | Misa
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 256 | Umetazamwa mara 1,159
Download Nota Download MidiNawatuma wote ulimwenguni kote (nawatuma) kutafuta kondoo wale waliopotea wote, na mkiwapata warudisheni kwa Baba.
1. Hebu na jiulize umeleta wangapi kwa vitendo vyako au maneno yako.
2. Pia ujiulize kafukuza wangapi kwa vitendo vyako au maneno yako.
3. Pia ujiulize utaleta wangapi kwa vitendo vyako au maneno yako.
4. Ndugu nakusihi sifukuze kondoo kwa vitendo vyako au maneno yako.
5. Na wasio wa kundi la kondoo wa Baba na waletwe kwake na- vitendo vyako.