Ingia / Jisajili

Nakiri Makosa Yangu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 35

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nakiri makosa yangu kwako Bwana, mimi kweli ni mkosefu (ninatubu); kwa huruma yako Bwana ninatubu Baba ni samehe X2 1. Kweli nimekukosea kwa matendo yangu maovu, ninatubu kwako Baba; kwa huruma yako ee Bwana nisamehe 2. Kweli nimekukosea kwa mawazo yangu maovu, ninatubu kwako Baba; kwa huruma yako ee Bwana nisamehe 3. Kweli nimekukosea kwa kutotimiza wajibu, ninatubu kwako Baba; kwa huruma yako ee Bwana nisamehe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa