Ingia / Jisajili

Ninyunyizie Maji Ya Uzima

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NINYUNYIZIE MAJI YA UZIMA

Kiitikio

Ninyunyizie, Ninyunyizie Maji ya uzima

Nioshe kabisa, Nioshe kabisa nitakatifuze

1.Nyakati za ukame Ee Mungu wangu, usiache ninyauke kabisa, Nioshe Ee Mungu nitakate.

2.Mti ujapokatwa mpaka shinani, kwa harufu yam aji utachipuka tena, Nioshe ………………

3.Kama mti ulivyo kando ya mto, na mimi ndivyo nilivyo kabisa, nioshe ………………………….

4.Bwana nipe hayo maji ya uzima, ili nisiaibke milele, Nioshe …………………………………………


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa