Ingia / Jisajili

Mkono Wako Wa Kuume

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,600 | Umetazamwa mara 8,278

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MKONO WAKO WA KUUME

KIITIKIO

Mkono wako wa kuume amesimama, amesimama Malkia amevaa dhahabu ya Ofiri.x2

MASHAIRI

  1. Binti za wafalme wamo mikononi, wamo mikononi mwao Bibi wastahiki.
  2. Ewe binti tega sikio la kwako, na mfalme autamani uzuri wako.
  3. Ewe binti wa Sayuni ufurahi, umshangilie Mungu wako siku zote.
  4. Na yeye mfalme atakutamani, yumo ndani anayo ile fahari tupu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa