Ingia / Jisajili

Twendeni Na Sadaka

Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alan Mvano

Umepakuliwa mara 3,014 | Umetazamwa mara 5,952

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

 Twendeni na sadaka tukampe Bwana Mungu aliye muumba wetu

 Twendeni twendeni na sadaka zetu ,Twendeni na sadaka tukampe Bwana

Twendeni na sadaka tukampe Bwana muumba wetu

1. Tupeleke na mazao ya shambani tumpe Mungu wetu, tujiwekee hazina zetu mbinguni naye atatubariki

2. Tupeleke na fedha za mifukoni tumpe Mungu wetu, tujiwekee hazina zetu mbinguni naye atatubariki


Maoni - Toa Maoni

Jean mavungu Mar 14, 2024
nyimbo

Toa Maoni yako hapa