Ingia / Jisajili

Ee nafsi yangu umsifu Bwana.

Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 140

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 22 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 26 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee nafsi yangu umsifu Bwana (Bwana ndiye) ashikaye kweli milele x2

1:Huwafanyia hukumu walioonewa, huwapa wenye njaa chakula Bwana huwafungua waliofungwa.

2:Bwana huwafumbua macho waliopofuka huwainua walioinama.Bwama huwapenda wenye haki huwa hifadhi wageni.

3:Bwana huwategemeza yatima na mjane, bali njia ya wasio haki huipotosha. Bwana atamiliki milele Mungu wako Ee Sayuni kizazi hata kizazi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa