Ingia / Jisajili

Nafsi Yangu Yamngoja Mungu

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari | Majilio

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 944 | Umetazamwa mara 2,356

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 8 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nafsi Yangu Yamngoja Mungu peke yake kwa kiimya wokovu wangu hutoka kwake x2.

Mashairi:

1. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, ngome yangu sitatikisika sana.

2. Nafsi yangu umngoje Mungu peke yake kwa kimya, tumaini langu hutoka kwake.

3. Kwa Mungu wokovu wangu na utukufu wangu, mwamba wa nguvu zangu na kimbilio langu ni kwa Mungu.

4. Enyi watu mtumainini siku zote,Ifunueni mioyo yenu mbele zake, Mungu ndiye kimbilio letu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa