Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Mashaka Yakobo
Umepakuliwa mara 105 | Umetazamwa mara 158
Download Nota Download MidiAhimidiwe Mungu Baba, na mwanawe pekee, na Roho Mtakatifu kwa sababu ametufanyia huruma yake. X2
Beti.
1. Usifiwe utatu, utatu mtakatifu na umoja usiogawanyika.
2. Mungu Baba ni Muumba, Mungu Mwana ni Mkombozi, Mungu Roho Mtakatifu ni mfariji.