Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: MASHAKA YAKOBO
Umepakuliwa mara 97 | Umetazamwa mara 481
Download NotaShangwe zimetamalaki duniani na mbinguni x2 haya njooni tushangilie, tuicheze ngoma tufurahie, haleluya twimbe twimbe haleluya x2
Beti
1 Mariu na wenzake walikwenda kule kaburini wakakuta kanuri liwazikweli Bwana Yesu kafufuka.
2. Petro na yeye Yohana walikwenda mbio kaburini, wakakuta kanuri li wazi kweli Bwana Yesu kafufuka.
3. Maraika akasema, kafufuka Bwana kafufuka, Falilaya kawatangulua enendeni huko mtamwaona.
4. Hima nadi twandamane Falilaya twende kwa vifijotukamwone Yesu mfufuks yu msima Yesu kafufuka.