Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mashaka Yakobo
Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 116
Download Nota Download MidiBeti
1. Vilio, vimetawala, katika, jamii zetu. Mama zetu, wananyanyaswa, dada zetu hawako huru huu ni wito....
*Kitikio*
Tulimee, shamba la haki tupandee, mchee wa usawa, tuvunee, haki kwa wote tupatee maendeleo sawaaa
2. Urithi, siyo wa mama mjanee, atupwa mbali, elimu, dada hapati jinsia yamuadhibu huu ni wito....
3. Uchumii, ni wake baba na mama, ni mjakazi, nyadhifa serikalini wanawakee, ni wachache huu ni wito...
4. Sheriaa, zisizo haki zifutwee, ziondolewe. Zitungwe, zenye kuleta usawa, kwa watu wote huu ni wito..