Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: MASHAKA YAKOBO
Umepakuliwa mara 83 | Umetazamwa mara 323
Download Nota Download MidiNitamwimbia Bwana kwa maana ametukukuka sanax2 Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini baharinix2
Beti
1 Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu, yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu, ni Mungu wa Baba yangu nami nitamtukuza.
2. Bwana ni Mungu wa vita, Bwana ndiye jina lake, magari ya farao na jeshi lake amewatupa Baharini, maakida wake wateule wamezama katika bahari ya Shamu.