Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: MASHAKA YAKOBO
Umepakuliwa mara 146 | Umetazamwa mara 451
Download NotaNami nimezitumainia fadhili zako,moyo wangu na uufurahie wokovuwako, naam nimwimbie Bwana, kwakuwa Bwana amenitendea kwa ukarimu
1. Adui yangu asije akasema nimemshida, watesi wangu wasifuraji nidondoshwapo.
2. Bwana fadhili zako siwezi kuzihesabu, wala mimi Bwana siwezi kukulipa
3. Bwana nitalitaja jina lako daima, na ulimi wangu milele utakusifu.