Ingia / Jisajili

Uwape Pumziko La Amani

Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mashaka Yakobo

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kwakuwa ilikupendeza uwaite kwako Bwana, e Mungu wangu Mungu mwema uwape pumziko la amanix2.

1. Japo walikuwa ni wazazi wetu, japo walikuwa ni walezi wetu, uwape pumziko la amani.

2. Japo walikuwa washauri wetu, ndugu zetu pia wafariji wetu, uwape pumziko la amani.

3. Wasamehe Bwana kwa makosa yao, wapokee Bwana uwinguni kwako, uwape pumziko la amani.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa