Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: MASHAKA YAKOBO
Umepakuliwa mara 197 | Umetazamwa mara 607
Download NotaEe Bwana unifanye chombo Cha amani, amani yako.
Beti
1. Niweze leta mapendo wanapochukiana.
2. Niweze kupatanisha palipo na magomvi.
3. Kusiko na tumaini nilete tumaini.
4. Kuliko enea giza nilete hapo mwanga.
5. Niweze leta furaha palipo na huzuni.