Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 635 | Umetazamwa mara 2,413
Download Nota Download MidiAleluya aleluya aleluya kafufuka,amefufuka aleluya kafufuka tena mzima.
tushangilie kafufuka ,nayo mauti kayashinda,vigelegele na makofi, tumpigie Bwana Mungu,amefufuka aleluya kafufuka tena ni mzima.
aleluya,aleluya aleluya Bwana amefufuka aleluya.
shairi
1.mzigo wetu wa dhambi alibeba ameyashinda mauti aleluya
2.tushangilie Bwana amefufuka,njoni mbele tuimbe na kufurahi