Ingia / Jisajili

Nitalisifu Jina La Bwana

Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 135 | Umetazamwa mara 212

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitalisifu Jina lako (Mungu) daima na milele Ee Mungu Mfalme wangu (Mungu) daima na milele (Kila siku nitakusifu pia kutukuza jina lako (milele) daima na milele) X2 1. Bwana ni mwenye huruma na mpole, si mwepesi wa hasira Bwana ni mwingi wa fadhili Bwana ni mwema sana, huruma yake I juu ya viumbe vyake vyote. 2. Kazi zako zote zinakutukuza, wachaji wako wanakusifu wanakusifu Bwana Wautaja utukufu ufalme wako wanauhadithia uwezo wako. 3. Bwana ni mwaminifu kwa adadi zake, mwema kwa kazi zake zote Bwana huwategemeza Wote waangukao huwainua wale wote waliogandamizwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa