Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani
Umepakiwa na: Mgassa Paschal
Umepakuliwa mara 302 | Umetazamwa mara 1,367
Download NotaASANTE BWANA YESU
Asante Bwana Yesu tunakushukuru, kutulisha mwili wako, na damu yako Asante x2
1. Umetulisha, umetunywesha, asante Yesu wa Ekaristi
2. Mema ya mbingu, tumeyapata, asante Yesu wa Ekaristi.
3. Umetupenda, ukatufia, asante Yesu wa Ekaristi.
4. Èwe fidia ya dhambi zetu, asante Yesu wa Ekaristi.