Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Mgassa Paschal
Umepakuliwa mara 215 | Umetazamwa mara 980
Download Nota Download MidiBWANA ANATUALIKA
BWANA YESU KRISTO ANATUALIKA, AMETUANDALIA CHAKULA CHA ROHO ZETU
TWENDENI TUKALE TUPATE UZIMA. X2
1. HUU NDIYO MKATE WA MALAIKA, CHAKULA SAFI CHA ROHO ZETU.
2. BWANA ANATUITA MEZANI PAKE, ILI ATUPATANISHE NA BABA.
3. HUYU NI YESU KWELI KASHUKA KWETU, KWA MAUMBO YA MKATE MTAKATIFU.