Ingia / Jisajili

Msipoula mwili wake

Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mgassa Paschal

Umepakuliwa mara 66 | Umetazamwa mara 318

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

MSIPOULA MWILI WAKE 

Bwana Yesu akawaambia, Amin Amin nawaambieni, msipoula mwili wake mwana wa Adamu, na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu,

Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, anao uzima, uzima wa milele,

Nami nitamfufua siku ya mwisho.

Kwa maana mwili wangu ni chakula kweli, na damu yangu, ni kinywaji cha kweli. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa