Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Mgassa Paschal
Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 1,118
Download Nota Download MidiBWANA ANATUALIKA
BWANA YESU KRISTO, ANATUALIKA, AMETUANDALIA CHAKULA CHA ROHO ZETU/
TWENDENI TUKALE TUPATE UZIMA X2
1. HUU NDIYO MKATE WA MALAIKA, CHAKULA SAFI CHA WASAFIRI
2. BWANA ANATUITA MEZANI PAKE, ILI ATUPATANISHE NA BABA
3. HUYU NI YESU KWELI KASHUKA KWETU, KWA MAUMBO YA MKATE MTAKATIFU