Ingia / Jisajili

TWENDENI KWA BWANA TUKALE

Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Mgassa Paschal

Umepakuliwa mara 357 | Umetazamwa mara 1,641

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  •                                                             TWENDENI KWA BWANA TUKALE

  • TWENDENI KWA BWANA TUKALE CHAKULA CHA UZIMA,
  • BWANA YESU AMETUANDALIA CHAKULA CHA UZIMA X2

  •    1. Tazameni Bwana alivyo mkarimu, ametuandalia 
  •       meza ya upendo.

  •   2 .Anatualika tujongee mezani, atupatanishe na 
  •      Baba wa mbinguni.

  •  3. Twendeni tukale, twendeni pia tunywe, ni mwili
  •      na damu ya Bwana wetu Yesu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa