Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Mgassa Paschal
Umepakuliwa mara 808 | Umetazamwa mara 1,966
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C
MAOMBI YANGU YAFIKE
Maombi yangu yafike mbele zako,(mbele zako) uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana x2
1. Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele zako.
2. Maombi yangu na yafike mbele zako,uutegee ukelele wangu sikio lako.
3. Maana nafsi yangu imeshiba tabu, uhai wangu umekaribia kuzimu.