Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
                     
 > Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa                 
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Mgassa Paschal
Umepakuliwa mara 412 | Umetazamwa mara 1,547
Download NotaBWANA ATUALIKA
" Bwana Yesu Kristo anatualika,ameatuandalia chakula cha roho zetu, twendeni tukale
tupate uzimax2
1. Huu ndiyo mkate wa Malaika, chakula safi cha roho zetu
2. Bwana anatuita mezani pake , ili atupatanishe na Baba.
3. Huyu ni Yesu kweli kashuka kwetu, kwa maumbo ya mkate mtakatifu