Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo Aliyechinjwa (Kristu Mfalme)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,877 | Umetazamwa mara 8,379

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Astahili mwanakondoo aliyechinjwa (aliyechinjwa) kuupokea uweza na utajiri (na hekima) na hekima na nguvu na heshima. (Utukufu na ukuu una yeye (utukufu) utukufu na ukuu una yeye (una yeye) una yeye hata milele na milele.x2)

MASHAIRI

  1. Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza nao utajiri.
  2. Ewe Mungu mpe Mfalme hukumu yako, na Mwana wake Mfalme ile haki yake.
  3. Atahukumu wale wote waonewao, atamseta anaeonea wengine.
  4. Utukufu pia ukuu ni wake Bwana, hata milele milele ijayo amina.

Maoni - Toa Maoni

paul Jan 12, 2017
Mnajitahidi sana Mungu awabariki

BALAKA Oct 23, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu888nampa

Toa Maoni yako hapa