Ingia / Jisajili

Uje Roho Mtakatifu

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 1,437 | Umetazamwa mara 5,921

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Uje Roho Mtakatifu ushushe mapaji yako , Uje Roho Mtakatifu ushushe mapaji yako.x2

MASHAIRI

  1. Uje Roho Mtakatifu uje Roho wa kweli, tushushie mapaji ili tuwe imara.
  2. Uje Roho Mtakatifu uje Roho wa kweli,tujalie uchaji tuishike ibada.
  3. Uje Roho Mtakatifu uje Roho wa kweli, tujalie imani tuwe wana wa Mungu.
  4. Uje Roho Mtakatifu uje Roho wa kweli, tupe nasi uwezo wa kujua ukweli.
  5. Uje Roho Mtakatifu uje Roho wa kweli, uyaoshe machafuko ndani ya nyoyo zetu.

Maoni - Toa Maoni

Damiano Dayson May 12, 2024
Nota za maneno wimbo wa uje roho mtakatifu sikwensia

Toa Maoni yako hapa