Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 1,414 | Umetazamwa mara 4,979
Download Nota Download MidiMama yetu Maria, kweli
umebarikiwa, Sisi wanao Mama, leo tunakusalimu x2
Ave, Ave, Ave Maria salamu
Maria (Bikira Maria)Kweli umebarikiwa x2
1. Nyota ya asubuhi, chemchemi ya Furaha, Mama wake Mungu mwenye Baraka tele.
Uliyekingiwa dhambi ya asili tuombee, Mama kwake Yesu mwanao.
2. Chombo cha heshima mwenye moyo safi, msaada wetu tuna kukimbilia
Mama mtimilifu, Nyumba ya dhahabu, unatupatanisha naye Yesu mwanao.