Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,213 | Umetazamwa mara 3,650
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
Kiitikio: Tazama tazama, Mungu ndiye anayenisaidia, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu x 2.
Mashairi:
1. Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu, Ee Bwana nitalishukuru jina lako maana ni jema.
2. Ee Mungu Ee Mungu uyasikie maombi yangu, uyasikilize maneno maneno ya kinywa changu.
3. Ee Mungu Ee Mungu uisikilize sala yangu, wala usijifiche nikuombapo nikuombapo rehema.