Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 989 | Umetazamwa mara 3,696
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
Kiitikio:
Bwana asema, Mimi ni wokovu, wokovu wa watu x 2. Wakinililia katika taabu yoyote, nami nitawasikiliza nami nitakuwa Bwana wao milele x 2.
Mashairi:
1. Nitakuhimidi Bwana, nitalisifu jina lako daima na milele.
2. Nitamsifu Bwana kila wakati, nitamwimbia nitasema wewe ndiye Mungu wangu.
3. Bwana ni nuru yangu na mwokozi wangu, ni mwogope nani?, nimwogope nani?