Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 4,665 | Umetazamwa mara 11,220
Download Nota Download MidiKiitikio: Asante Bwana Yesu, asante, kwa mema yote ulionijalia mimi, asante, nakushukuru Bwana Mungu wangu x 2.
Mashairi:
1. Asante sana Bwana Yesu wewe ni mwamba wangu mimi, pia ni jabari langu na mwokozi wangu.
2. Mema umenijalia kutoka mbinguni,asante mwana wake na Maria ninakushukuru.
3.Ninakushukuru Baba kwa kunilinda mwana wako, nitakuimbia sifa daima na milele.