Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 530 | Umetazamwa mara 2,560
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee bwana uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu x 2.
Kwa uaminifu wako hunijibu, Ee bwana, hunijibu kwa haki yako x 2.
Mashairi:
1. Wala usimhukumu mtumishi wako, maana kwako hakuna aliyei hai mwenye haki.
2. Maana adui ameifuata nafsi yangu, ameutupachini uzima wangu uzima wangu, amenikalisha mahali penye giza, kama watu waliokufa zamani, nayo roho yangu imezimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu umesituka.