Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mfalme

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 1,155 | Umetazamwa mara 3,373

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bwana ni mfalme amejivika taji, Bwana ni mfalme amejivika taji x 2.

Mashairi:

1. Bwana ametamalaki, amejivika adhama, Bwana amejivika na kujikaza nguvu.

2. Kiti chako kimekuwa, thabiti toka zamani, wewe ndiye uliye milele na milele.

3. Shuhuda zako ni amini, ni amini tena sana, utakatifu ndio uifahayo nyumba yako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa