Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,517 | Umetazamwa mara 4,324
Download Nota Download MidiKiitikio: Ondoka Ee Yerusalem, usimame juu, tazama uione furaha inayokujia kutoka kwa Mungu Mungu wako x 2.
Mashairi:
1. Toka machweo ya jua hata mawio yake, wanao wanakusanyika.
2. Kwa neno lake yeye aliye Mtakatifu, wakifurahi kuwa Mungu amewakumbuka.
3. Waliondoka kwako kwa miguu, walikokotwa na adui adui zao.
4. Mungu anawarejeza juu kwa heshima, kama katika kiti kile kiti cha enzi.
5. Maana kwa maagizo yake Bwana Mungu, kila kilima kitashushwa kitashushwa.