Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,025 | Umetazamwa mara 5,873
Download Nota Download MidiKiitikio: Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, utanizungusha nyimbo za wokovu x 2.
Mashairi:
1. Heri aliyesamehewa dhambi, nakusitiriwa makosa yake.
2. Heri Bwana asiyemhesabia upotovu, ambaye moyoni mwake hamna hila.
3. Nimekujulisha dhambi zangu, wala sikuuficha upotovu wangu.