Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 431 | Umetazamwa mara 2,168
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, akili zake hazina mipaka x2.
Bwana huwategemeza, wenye upole, huwaangushachini wenye jeuri x 2.
Mashairi:
1. Aleluya msifuni Bwana, maana ni vema kumwimbia Mungu wetu maana kwapendeza kusifu ni kuzuri.
2. Bwana, ndiye, aijengaye Yerusalemu, huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
3. Huwaponya waliopondeka waliopondeka moyo, na kuziganga jeraha zao jeraha zao.