Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,966 | Umetazamwa mara 6,799
Download Nota Download MidiKiitikio: Dondokeni enyi mbingu toka juu, na mawingu yamwage mwenye haki, mwenye haki, nchi na ifunuke kumtoa mwokozi x 2.
Mashairi:
1. Bwana ameiridhia nchi yake, amewarejeza mateka wa Yakobo.
2. Amewasamehe uovu watu wake, amezisitiri hatua zao zote.