Ingia / Jisajili

Ee Bwana, Unijie Hima

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 1,373

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Ee Bwana nimekuita unijie hima, Ee Bwana uisikie sauti yangu nikuitapo x 2.

Mashairi:

1. Sala yangu, ipae mbele yako kama uvumba, kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.

2. Ee Bwana, uweke mlinzi kinywani mwangu, mngojezi mlangoni, mlangoni pa midomo yangu.

3. Usiuelekeze, moyo wangu kunako jambo jambo baya, nisiyazoelee matendo matendo yasiyofaa.


Maoni - Toa Maoni

Mar 27, 2016
Wimbo mkali sana huu

Toa Maoni yako hapa