Ingia / Jisajili

Tukatoe Sadaka

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 2,300 | Umetazamwa mara 6,447

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Twendeni tukatoe sadaka kwa Bwana, tukamshukuru x 2. twende tukatoe sadaka kwa shukrani, tukamshukuru Mungu Baba mwenyezi, twendeni tukatoe, tukamshukuru, kwa mema yake yote alotujalia.

Mashairi:

1. Njoni tumshukuru, Bwana Mungu wetu, kwa mema yake yote aliotujalia.

2.twendeni tumtolee, fedha na mazao, aliotujalia, sisi wanadamu.

3. Vipaji tunaleta, vyote mali yako, twendeni tupeleke, kwake Mungu Mwenyezi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa