Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,395 | Umetazamwa mara 6,442
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana amejaa huruma, Bwana amejaa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa fadhili x 2.
Mashairi:
1. Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, naam na vyote vilivyomo ndani yangu, vilihimidi jina lake takatifu.
2. Akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote, akutia taji ya fadhili na rehema.
3. Aukomboa uhai na kaburi, si mwepesi wa hasira Bwana Mungu wetu, ni mwingi wa fadhili ni mwingi wa fadhili.