Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 475 | Umetazamwa mara 2,446
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Mungu, uisikilize sala yangu, wala usijifiche nikuombapo rehema x 2.
Mashairi:
1. Unisikilize na kunijibu, nimetangatanga na kulalama nikiugua.
2. Moyo wangu unaumia ndani yangu, na hofu za mauti zimeniangukia.
3. Hofu na tetemeko limenijia, na hofu kubwa imenifunikiza.