Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,835 | Umetazamwa mara 4,529
Download Nota Download MidiKiitikio: Kwa Bwana kuna fadhili na kwake kuna ukombozi mwingi x 2.
Mashairi:
1. Ee Bwana toka vilindini, nimekulilia Bwana uisikie sauti yangu.
2. Masikio yako yaisikilize, yaisikilize sala ya dua sala ya dua yangu.
3. Bwana kama undehesabu, maovu yetu Ee Bwana ni nani angesismama.
4. Lakini kwako kuna msamaha, ili uogopwe kuna msamaha ili wewe uogopwe.