Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,006 | Umetazamwa mara 3,535
Download Nota Download MidiKiitikio: Mimi ndimi mchungaji mwema, nawajua kondoo wangu x 2.
Mashairi:
1. Mimi ndimi mchngaji mwema, nawajua walio wangu, nao waliowangu wanijua mimi.
2. Kama vile Baba anijuavyo mimi, nami nimjuavyo Baba, nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
3. Na kondoo wengine si wa zizi hili, na hao nao imenipasa kuwaleta, na sauti yangu wataisikia, kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.