Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 1,109 | Umetazamwa mara 3,295
Download NotaKiitikio - Zaburi 32:5
Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana x2 // Nawe ukanisamehe upotovu wangu; Ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu x2
1. Heri mtu yule aliyesamehewa dhambi, Nakusitiriwa makosa makosa yake; Heri Bwana asiyemuhesabia upotovu, ambaye rohoni mwake rohoni hamna hila.
2. Ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso; Utanizungusha kwa nyimbo za wokovu.
3. (Terno) Nalikujulisha dhambi dhambi yangu; Wala sikuficha upotovu upotovu wangu.