Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: MASHAKA YAKOBO
Umepakuliwa mara 220 | Umetazamwa mara 526
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste
Pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yenux2. Na Roho Mtakatifu, tuliyepewa sisi Aleluya x2.
beti.
1. Utushushie hekima, utujalie akili, utuzidishie Imani ewe Roho Mtakatifu.
2. Chunguza Mawazo yetu, chunguza na afya zetu,twahitaji msaada wako ewe Roho Mtakatifu.
3. Hakika utuongoze tusifanye ulegevu, tuzishike njia zako ewe Roho Mtakatifu.
4. Tushike mikono yako utupeleke mbinguni, tumuone Mungu Baba ewe Roho Mtakatifu.
.