Mtunzi: Alexander M. Y. Kiyogera
> Mfahamu Zaidi Alexander M. Y. Kiyogera
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander M. Y. Kiyogera
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Mashaka Yakobo
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNakuinulia nafsi yangu e Mungu wangux2. Nimekutumainia wewe nisiaibike MunguĂ—2.
1. Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
2. Naam wakungojao hawataaibika hata mmoja, wataaibika watendao udharimu bila sababu.
3. Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.