Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Miito | Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 561 | Umetazamwa mara 2,808
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana nimependa makao ya nyumba yako, pia, na mahali pa maskani ya utukufu wako x 2.
Mashairi:
1. Ili nitangaze, sauti ya kushukuru, na kuzisimulia kazi zako kazi zako za ajabu.
2. Nitanawa mimi, mikono mikono yangu, na kuyazunguka madhabahu madhabahu yako Ee Bwana.
3. Nami nitakwenda, kwa ukamilifu wangu, unikomboe unifanyie fadhili.