Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,094 | Umetazamwa mara 7,479
Download Nota Download MidiKiitikio:
Asante Bwana Yesu asante, tunakushukuru Bwana, asante Bwana Yesu asante kwa meme unayotujalia.
Mashairi:
1. Tunakushukuru Bwana (Mungu), kwa unayotujali (Bwana), asante....
2. Mwana wake na Maria (wewe), mema unatujalia (Bwana), asante...
3. Wewe unatupa nguvu (sisi), wewe watupa uzima (Bwana), asante...
4. magonjwa watuepusha (sisi), afya kuziimarisha (Bwana), asante...