Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 446 | Umetazamwa mara 2,497
Download Nota Download MidiKiitikio: Sikieni, sikieni enyi watu wangu, nami nitanena x2. Mimi nitakushuhudia Israeli, mimi ndimi niliye Mungu wako x2.
Mashairi:
1. Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, na kafara zako ziko mbele zangu daima.
2. Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, wala beberu katika mazizi yako.
3. Maana kila hayawani, ni wangu, na makundi juu ya milima elfu.
4.Nawajua ndege wote wa milima, na wanyama wote wa mashamba ni wangu.