Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,172 | Umetazamwa mara 6,048
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza, nitalihimidi jina lako, milele na milele x 2.
Mashairi:
1. Bwana anafadhili, ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa fadhili.
2. Bwana nimwema sana, kwa watu wake wote, na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
3. Bwana kazi zako zote, zitakushukuru, na wacha Mungu wako watakuhimidi.
4. Bwana ni mwenye haki, katika njia zake zote, na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.